Demo

Jaribu Shopia na duka lako mwenyewe la bure

Hakuna login za pamoja. Fungua duka lako binafsi na ujaribu kila kitu bure kwa siku 7.

Bure · siku 7

Demo inafanyaje kazi

1
Sajili kwa sekundeWeka jina la duka na nenosiri — hakuna kadi.
2
Pata duka lako binafsiData yako ni yako pekee — hakuna mwingine anayeiona.
3
Tumia kila kitu, huruUza, ongeza stoki, alika wafanyakazi, ona ripoti — mfumo mzima.
4
Boresha baada ya siku 7Umeipenda? Chagua plan uendelee. Kama hapana, hakuna malipo.
Anza bure — siku 7
Shopia demo
Duka lako binafsi

Unachoweza kuchunguza

POS ya Haraka

Uza kwa mibofyo michache, chapisha risiti, kata hisa moja kwa moja.

Usikose stoki

Stoki ya wakati halisi kila tawi

Ripoti za Picha

Chati za mauzo, faida na bidhaa bora — zinazochapishika.

Maduka Mengi

Kila duka database yake; super admin anasimamia yote.

Wafanyakazi na Majukumu

Ongeza wafanyakazi wenye ruhusa sahihi na fuatilia nani alifanya nini.

Hufanya Kazi Bila Mtandao

Endelea kuuza bila mtandao - kila kitu husawazishwa ukirudi.